iqna

IQNA

George Floyd
TEHRAN (IQNA) – Washiriki katika maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi Marekani walisikika wakitamka Takbir yaani Allahu Akbar.
Habari ID: 3472943    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/09

TEHRAN (IQNA) – Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeunga mkono kikao maalumu cha Baraza la Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa ambacho kimeitishwa kujadili ubaguzi wa rangi nchini Marekani.
Habari ID: 3472875    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/18

Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA) -Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema ‘kubinya shingo kwa kutumia goti’ ni sera ya daima ya Marekani na kuongeza kuwa: “Katika kipindi chote cha historia, Marekani imekuwa ikitumia sera hiyo kukandamiza madhulumu.
Habari ID: 3472854    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/10

TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kutumia kitabu cha Biblia kwa ajili ya kuhalalisha jinai na ukatili wa serikali yake na kuwahadaa Wamarekani.
Habari ID: 3472836    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/04

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Mashauriano la Jumuiya za Kiislamu Malaysia limelaani vikali ukatili wa polisi nchini Marekani na kusema ukosefu wa uadilifu na utumiaji mabavu ni dhatu ya mfumo wa utawala nchini Marekani.
Habari ID: 3472833    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/03

TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, watawala wa Marekani ni watuhumiwa wa kuvunja haki za kimsingi kabisa za binadamu na inabidi wapandishwe kizimbani kwenye mahakama za kimataifa.
Habari ID: 3472829    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/02

TEHRAN (IQNA) - Marekani imetumbukia tena katika machafuko makubwa kutokana na malalamiko ya wananchi wanaopinga mauaji yaliyofanywa na polisi wa nchi hiyo dhidi ya raia mweusi.
Habari ID: 3472822    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/01